Panga nyumba nzuri ubungo kibangu
- Jan 18, 2017
- 1 min read
Nyumba ipo eneo la ubungo kibangu, ina vyumba viwili chumba na sebule na choo cha nje mna shea watu wawili maji yapo ya dawasco na y chumvi umeme una shea watu wawili mazingira ni mazuri na salama,
Nyumba ipo karibu na barabara kuu ya mandela dakika 4 tu kufika stendi ya riverside na dakika 10 kufika stendi ya mwendo kasi barabara ya morogoro
Bei malipo ni shilingi 140000 kwa mwezi.
malipo ni kwa miezi sita ( 120000 kwa mwaka mzima)





Comments