Nyumba ya kupanga ubungo Riverside
- Jan 21, 2017
- 1 min read
nyumba ipo ubungo riverside
dakika sita(6) kutoka barabara ya mandela
nyumba in a chumba kimoja na sebule ,choo cha nje, jiko la wazi dogo kwanje umeme unashea na watu wawili maji yapo ya chumvi na dawasco
- iko ndani ya fence parking ni nje ya nyuma
- vyumba ni vya kisasa wahi sasa vifanyiwe finishing unayo kufaa kwamahitaji yako.
- kodi kwa mwezi 140000 kwamalipo ya miezi 6 ( kwa malipo ya mwakamzima 120000)
++ malipo ya dalali ni kodi ya mwezi mmoja
malipo ya kuoneshwa nyuma ni shillingi elfu 15000 mbaka pale utapo pata nyumba uipendayo





Comments